Wednesday, 9 October 2013

DOKTA SLAA ATOA HOTUBA KALI KATIKA CHUO CHA SAMFORD MAREKANI

  Dokta slaa metoa hotuba yenye maneno makali akihutubia wanachuo wa chuo cha Samfor marekani hivi karibuni.Amesema Tanzania inatambua na inapendezwa na maendeleo ya nchi ya Marekani.


 Dokta SLAA alisema "Nchi ya Tanzania ni tajiri na ina utajiri wa utamaduni na watu wakarimu.Watanzania wamenituma nije nifanye ziara ya kimasomo kujifunza siri ya mafanikio ya nchi hii.T

  Tanzania ni moja kati ya nchi zilizo barikiwa sana katika uso huu wa dunia na ina utajiri mkubwa wa maliasili.
Tanzania ni nyumbani kwa milima kilimanjaro,Hifadhi ya Serengeti is the home of Mt. Kilimanjaro, Ngorongoro crater, na Olduvai Gorge ambapo binadamu wa kwanza anaaminika kuishi hapo.Tanzania tuna beach bora kabisa,watu wetu wanawakaribisha sana.Kwa muda mrefu bara la Afrika limejulikana kama bara la Giza lenye magonjwa,umasikini,njaa,ujinga na vita visivyokwisha.

 "Mimi sipo hapa kuomba kwa sababu nchi yangu ni tajiri.Na ninajuafika kwamba misaada haisaidii kwa sababu haipatikani bure.Misaada inakuja na masharti magumu.Hivyo basi sipo hapa ku kuomba misaada na chama changu aha CHADEMA hakipo hapa kuomba msaada chama ninachokiwakilisha hakiaminikatika misaada.Hiyo ndio falsafa ya chama changu na mtu yeyote mwenye uhai na akili timamu inampasa aamini hivyo.Misaada inasaidia kwa muda mfupi tu ili kujitoa katika janga .
Rwanda ilihitaji msaada ili kujikwamua na madhara ya mauaji ya kimbali.Na mara tu baada ya kujikwamua na madhara  hayo haihitaji tena misaada na kwa sasa ndio nchi inayoongoza kukua kwa uchumi katika ukanda wa Afrika mashariki na kati.
Misaada ni aina ya utumwa ambao unatengeneza hisia za uongo za kuwa na kitu,misaada inamfanya muombaji awe na katika gereza la kisaikolojia kwamba ana kitu.
Chadema inaamini kwamba misaada inatengeneza utegemezi,misaada ni kodi zenu nyie wananchi ambazo ilibidi zitumike kwa maendeleo yenu na sio kwa ajili ya watu wanaoishi katika nchi  tajiri
Chama cha CHADEMA kinaamini falsafa ya uchumi wa soko huru ambapo ubunifu unapewa kipaumbele.Chadema hatuhitaji pesa wala hatuhitaji msaada wa neti za kuzuia mbu,bali tunahitaji Ujuzi wenu.
Hatuhitaji mabox ya viatu, tunahitaji ujuzi wa kutengeneza viatu.Tunahitaji uelewa wa teknolojia.
Kipaumbele cha kwanza cha chadema ni Elimu,cha pili ni elimu na cha tatu ni elimu
We don’t need shoe boxes, we need to know how to make our own shoes. We need your technological know how"



No comments:

Post a Comment