Shirikisho la Mpira wa miguu (TFF) na Kampuni ya Azam Media imeingia mkataba wa haki za kipekee le tarehe 30 August,2013 utakaoiwezesha Azam Tv kuonesha mechi za ligi kuu ya Tanzania bara.
Mkataba huo uliosainiwa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, una thamani ya Bilioni 5.56 huku TFF ikiwakilishwa na makamu wa Raisi Bwn.Athumani Nyamlani huku Azam media ikiwakilishwa na mtendaji mkuu wa kampuni hiyo Bwn.Thys
Torrington
FRANCIS CHEKA APATA MAOKEZI YA KUTISHA MOROGORO
Cheka akizungumza na mamia ya mashabiki waliokwenda kumpokea katika ukumbi wa Old Vijana |
No comments:
Post a Comment