Monday, 7 October 2013

WANAFUNZI WA KIDUTCH WAGUNDUA GARI LINALOTUMIA UMEME

Wnafunzi hao wa chuo kimoja huko Holland wamegundua gari litakalotumika katika mashindano ya magari.Gari hilo lina kasi ya ajabu na ni gari  la umeme lenye kasi zaidi duniani

No comments:

Post a Comment