Friday, 30 August 2013

MSANII DIMOND AMNUNULIA GARI MZEE NGURUMO

Dimond akimkabidhi funguo za gari mzee Ngurumo
Mwonekano wa gari mpya ya mzee Ngurumo

Katka hali inayoonesha ya kushangaza na kupongezwa ,msanii Dimond amemnunulia gari mkongwe wa muziki wa dansi nchini Muhidin Ngurumo.Dimond alisema ameguswa sana na maneno ya mzee Ngurumo alipokuwa anaaga fani ya uimbaji ambapo alibainisha kuwa tangu aanze muziki enzi za ujana wake hajawahi kumiliki gari.HONGERA DIMOND

No comments:

Post a Comment