Saturday, 28 September 2013

MAJAJI WATATU KUSIKILIZA KESI YA KUPINGA ADHABU YA KIFO (DEATH PENALTY)

MAHAKAMA KUU

Mahakama kuu imeteua panel ya majaji watatu kusikiliza kesi inayopinga adhabu ya kifo kama ilivyofungulia na taasisi za kijamii (civil societies) mnamo tarehe 10 Oktoba,2008. Kesi hiyo inaomba mahakama kuondoa adhabu ya kifo katika vitabu vya sheria.

Advocate Fulgence Masawe who has been representing the Legal and Human Rights Centre (LHRC), told The Guardian yesterday that the panel comprises Paneli hiyo ya majaji inahusisha majaji Madam Sheik, Mruke pamoja na  jaji Bongole.Wanatarajia kuanza kusikiliza upande wa utetezi ambao unawakilisha na Mwanasheria mkuu wa serikali


Kesi hii ilifunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za binadamu (LHRC),wakishirikiana na   the SAHRINGON Tanzania Chapter chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) wakiiomba mahakama iondoe adhabu ya kifo (CAPITAL PUNISHMENT) kwakuwa inamnyima binadamu haki yake ya msingi ya kuishi.N a badala yake adhabu hiyo iwe ni ya kifungo cha maisha badala ya kifo
. .
SOURCE: THE GUARDIAN

No comments:

Post a Comment