Monday, 2 September 2013

CHEKA APATA MAPOKEZI YAKUTISHA MJINI MOROGORO

 Francis Cheka akiwa kwenye gari  kurudi morogoro baada ya kupata ushindi kwa kumtwanga mmarekani Phil Williams katka ukumbi wa Dimond Jubilee jijini Dar es salaam siku ya tarehe 30 mwezi wa nane
 Pamoja nao ni mashabiki wake wakimsindikiza kurudi morogoro ambako anaishi kwa sasa
Cheka akizungumza na umati wa mashabiki walikwenda kumpokea katika uwanja wa Old Vijana Morogoro

Msafara ukimsindkiza Cheka kuelekea katikati ya mji wa morogoro

No comments:

Post a Comment