Friday, 30 August 2013
TFF,AZAM TELEVISHENI ZASAINI MKATABA WA BILIONI 5.5
Shirikisho la Mpira wa miguu (TFF) na Kampuni ya Azam Media imeingia mkataba wa haki za kipekee le tarehe 30 August,2013 utakaoiwezesha Azam Tv kuonesha mechi za ligi kuu ya Tanzania bara.
Mkataba huo uliosainiwa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, una thamani ya Bilioni 5.56 huku TFF ikiwakilishwa na makamu wa Raisi Bwn.Athumani Nyamlani huku Azam media ikiwakilishwa na mtendaji mkuu wa kampuni hiyo Bwn.Thys
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment