Friday, 27 September 2013

HAPINESS WATIMANYWA AIBUKA MSHINDI MISS TANZANIA


MISS TANZANIA 2013/14 HAPPINESS WATIMANYWA
 
Hatimaye Miss Tanzania 2013 amepatikana usiku wa Septemba 21 kwenye ukumbi wa Mlimani City ambapo mrembo 'HAPPINESS WATIMANYWA' aliibuka mshindi na kuvikwa taji la Redd's Miss Tanzania 2013. Mshindi huyo aliwabwaga warembo wengine 29, 'Watimanywa' ni mrembo kutoka Mkoa wa Dodoma na Kanda ya Kati.

'Happiness' alijishindia Taji hilo pamoja na zawadi ya Gari aina ya Toyota ist na kitita cha shilingi Milioni 8 nafasi ya pili ilikwenda kwa mrembo 'Latifa Mohamed' kutoka Kitongoji cha Kigamboni na Kanda ya Temeke na nafasi ya Tatu ikienda kwa Miss Tanzania Sports Woman 'Clara Bayo'. Warembo wengine walio ingia hatua hiyo ya tano bora ni 'Lucy Tomeka' na 'Elizabeth Prety'.By THE BRAX
HAPPINESS PAMOJA NA WASHINDI WA 2 NA 3

TOP 5 MISS TANZANIA

ZAWADI YA MISS TANZANIA

WADAU WAKIFUATILIA

No comments:

Post a Comment