Kocha mkuu wa Taifa stars Kim Poulsen amemwongeza kikosini Beki David Mwasika,Hii ni katika kujiandaa na mechi ya kufuzu kwa kombe la dunia dhidi ya Gambia ,kombe la dunia litakalofanyika nchini Brazil. Mechi nhiyo iakuwa ni ya ugenini ambapo itafanyika tarehe 7 septemba katika mji wa Banjul nchini Gambia.
David Mwasika ameongezwa kufuatia kuumia kwa beki Kelvin Yondani