UAMISHO WA GARETH BALE WAKAMILIKA KWENDA MADRID
Gareth
Bale amekubali mkataba wa uamisho wa £97m wa kujiunga na Real madrid ya Hiaspania.Na ata saini mkataba wa miaka 6 huku akilipwa kiasi cha , £310,000 kwa wiki na kupewa jezi yenye namba 11 ya Madrid! [Sky Sports]
No comments:
Post a Comment