Shekhe Issa Ponda (54) ambaye ni katibu mkuu wa taasisi na jumuiya za kiislamu nchini ameondolewa hoapitalini ambako alikuwa anaendelea na matibabu yake.Shekhe Ponda kwa sasa anakabiliwa na kesi mpya ya kufanya Uchochezi katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumzia kuhamishwa kwa mteja wake,wakili wa Shekhe Ponda Bwana Jumaa anasema ameshangaza sana na kitendo cha kuporwa mteja wake huyo kutoka katika matibabu,wakati hakimu wa mahakama ya kisutu Bi Hellen Riwa alitoa amri ya kuendelea na matibabu.Shekhe Ponda amepangiwa tena kwenda mahakamani tarehe 28 mwezi wa nane mwaka
huu
No comments:
Post a Comment