Friday 23 August 2013

WATANZANIA WATATU WAUAWA KWA TUHUMA ZA MADAWA YA KULEVYA

WATANZANIA WATATU WAUAWA KWA TUHUMA ZA MADAWA YA KULEVYA 

Watanzania watatu waliuawa Jumanne iliyopita jijini Cape Town, Afrika ya Kusini kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

Watanzania hao walipigwa risasi na kundi la watu waliokuwa wameficha nyuso zao nje ya duka lijulikano kama Maisha Tuck Shop lililopo katika barabara ya Veld katika kitongoji cha Athlone, jijini Cape Town.KWA MSAADA WA BBC


No comments:

Post a Comment