Sunday 22 September 2013

ALSHABABU WAMEWAUWA WATU 59 HUKO NAIROBI

Wanamgambo wa Al Shabaab wamewaua watu 59 katika shambulizi la kigaidi dhidi ya jumba la kifahari lenye maduka la Westgate mjini Nairobi. Hivi ndivyo hali ilivyokuwa nje ya jengo hilo ambako wapiganaji wa Al Shabaab wamewateka nyara wananchi kadhaa
Akina mama wkikimbia kujiokoa

Wananchi mbalimbali nwakijiokoa na kutoka nje ya jengo

Baadhi ya miili ya watu waliouwawa

polisi wakiendeleza Doria

Watu wakikimbia kuokoa maisha yao

No comments:

Post a Comment