Wednesday 28 August 2013

Kampeni hiyo ya kuchangia maktaba na maabara jimbo la ubungo imeratibiwa na asa isiyo Ya kiserikali la UDI (UBUNGO DEVELOPMENT INITIATIVES)
Mbunge wa Ubungo na mratibu wa kampeni wakibeba bango linalohamasisha uchangiaji.

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Ndg. John Mnyika akitoa rai yake kwa wananchi kuungana nae katika harambee ya kuchangia maabara na maktaba

Mratibu wa kampeni ya kuchangia maabara na maktaba bwana John Mallya

No comments:

Post a Comment